Nakupamba na sifa zangu, Wewe kwangu Ebeneza (x3)
Nakuinua, wastahili, wapendeza, Mungu wangu
Jina lako, takatifu, wewe kwangu… Oh
Nakwita Adonai; Ewe U Bwana wangu
Nakwita Jehova Nissi; bendera yangu – vita ni vyako
Nakuita Jireh; hakuna chochote
Jehovah Shammah; pamoja nami
Meaning:
Honor you with my praises